Breaking

Thursday, April 23, 2020

Visa vya corona vyafikia 303 Kenya


Wizara ya Afya Kenya imesema wagonjwa wengine saba wamebainika kuwa na corona na kufanya jumla ya visa vya corona Kenya kufikia 303, wagonjwa waliopona ni 74 na kuna vifo 14 vya corona hadi sasa.

HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE

No comments:

Post a Comment