Breaking

Monday, April 20, 2020

Visa vya virusi vya corona vyafikia 270 Kenya

Wizara ya Afya Kenya imesema Watu wengine wapya 8 wamebainika kuwa na corona na kufanya idadi ya wenye corona Kenya kufikia 270 kutoka 262.

“Tumepima sampuli 1330 ndani ya saa 24 na Watu 8 ndio wamebainika kuwa na maambukizi, saba ni raia wa Kenya na mmoja ni raia wa kigeni”

HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE

No comments:

Post a Comment