Breaking

Wednesday, April 1, 2020

Vita Nzito Harmonize na Rayvanny Kwenye Mziki wa Singeli....Wote Wafikisha 1Mil Viewers

Wanamuziki Harmonize na Rayvanny wameingia katika mtifuano kwa kugombania nani ana watazamaji wengi kwenye nyimbo zao walizoimba kwa mahadhi ya kisingeli...

Alianza Harmonize kufikisha Viewers Milion Moja kwenye Video ya Hujanikomoa ndani ya wiki moja, Sasa Ravyvanny nae kapost anaonesha amefikisha 1 Milion Viewers Ndani ya Siku Tatu kwenye wimbo wake alioimba na Dulla Makabila unitwa Miss Buzza


HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE 

No comments:

Post a Comment