Breaking

Wednesday, April 8, 2020

Wema Sepetu Amkumbuka STEVE Kanumba Kiana ya Kipekee Afanya Hili Jambo


Mwigizaji Staa Bongo Wema Sepetu amejikuta akimkumbuka Marehemu Kanumba aliyefariki April 7 ikiwa ni miaka nane imepita toka afariki.

Wema ametuonesha matukio ya picha ya pamoja akiwa na Marehemu Kanumba kipindi cha Uhai wake na kusema kuwa ‘Atabaki akiishi moyoni mwake’

Picha ya Kwanza– Kwa mara ya Kwanza Booboo wangu amepata award yake ya Kwanza ya John Reeber…Picha ya pili– Moja katika scenes za movie yetu ya kwanza pamoja “A point of no return”Picha ya tatu– moja kati ya scenes za movie ya Pili “Red Valentine”Picha ya nne– tulikuwa Kwenye Band Akudo Impact…🤣 Booboo alipenda sana Mziki wa Band… We used to have a good time… 🥰🥰🥰Picha ya Tano – Mapenzi Tele… Ona macho yetu…🥰🥰🥰ya sooo inlove…


HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE

No comments:

Post a Comment