Breaking

Monday, April 20, 2020

Wema Sepetu Hataki Kuitwa EX wa Diamond Platnumz....

Pengine Mrembo Wema Sepetu Sasa hataki Katika Jina Lake Kutambulishwa kama Ex Wa Diamond Platnumz, Ni Mara Nyingi Kwenye utambulisho Wa Wema Sepetu Kwenye Vichwa Vingi Vya Habari umekuwa kama '' Ex Wa Diamond Platnumz , Wema Sepetu Amefanya Hivi Amefanya Vile'' .

Hii Imekuja Baada Ya Mrembo huyo Kukijia Juu Chombo Cha Habari kutoka Kenya Baada Ya Kumtambulisha Kama Ex Wa Diamond Platnumz Kwenye Habari Yao Ambapo Wema Aliandika
''Halafu Hizi Mambo Za Kuniandika EX, Ex mnikome Please, Iam The Former Miss Tz And An Award Winning Actress, A Beauty Icon, An Enterpreneur Who Own An Application That is Currently Doing So Well. So Please Tuheshimiane, Ex, Ex Kama Hamuwezi Andika bila Kuweka Ex Dont Write My Stories'' wemasepetu

 HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE

No comments:

Post a Comment