Breaking

Friday, April 17, 2020

Z Anto ampoteza kaka yake kwenye ajali iliyoua watu 21 Mkuranga

Ndugu wa msanii Z Anto ni miongoni mwa watu 21 waliofariki kwenye ajali ya gari iliyotokea Kijiji cha kilimahewa Kaskazini mkoa wa Pwani.

Z Anto amethibitisha hilo la kumpoteza ndugu yake kwenye Ajali hiyo ilitokea April 15 ikihusisha basi dogo kugongana uso kwa uso na lori.

"Nipo mtwara mikindani nmekuja kumzika kakaangu, ambae ni mmoja kati ya watu 21 waliofariki ktk ajali ya Jana maeneo ya kilimahewa njia ya mkuranga.

HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE

No comments:

Post a Comment