Breaking

Sunday, April 26, 2020

Zari Amlipua Diamond Kwamba Hatoi Hela ya Matunzo ya Watoto Wake Baada ya Kutangaza Kulipa Kodi za Kaya 500

Zari Amlipua Diamond Kwamba Hatoi Hela ya Matunzo ya Watoto Wake Baada ya Kutangaza Kulipa Kodi za Kaya 500

Mwanamama mrembo na mjasiliamali Zari the Bosslady aliyezaa watoto 2 na Diamond Platnumz amemlipua mzazi huyo mwenzie baada ya kutangaza kulipia makazi kata 500 wakati hajua watoto wake wamekula Nini wala wamelala vipi.

Zari anamwambia Diamond huwezi furahisha dunia wakati wakwako hawana furaha na wewe wala kuwajali
Zari Amlipua Diamond Kwamba Hatoi Hela ya Matunzo ya Watoto Wake Baada ya Kutangaza Kulipa Kodi za Kaya 500

HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE

No comments:

Post a Comment