Breaking

Saturday, May 16, 2020

Baada ya ALI KIBA Kumalizana na DIVA...Diva Amkumbuka Marehemu Ruge..."Aliniambia Una Kitu"

Baada ya ALI KIBA Kumalizana na DIVA...Diva Amkumbuka Marehemu Ruge..."Aliniambia Una Kitu"

Divatheebawse
"Mara Ya Kwanza naonana na Boss Ruge aliniambia Una kitu .. una NYOTA kali sana sikuwa naelewa , alisema You r Unique ' You have something ' You Have The Power In You , Very Powerful ni vile watu hawajijui alimalizia Diva Yo very Powerful brand ... You have a very Special Heart .. siku zinaendelea sisikii sauti yake ikisema hivyo ... lakini nimeendelea kuambiwa same thing over and over again na watu tofauti , My Boss My forever dad , when this life is over ikno al see you again ... we miss you ... Smile My Boss Smile Babangu til we meet again" Diva

 HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE

No comments:

Post a Comment