Dkt. Lamwai amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Mei 05, 2020
Atakumbukwa kwa kazi yake kubwa katika siasa za Tanzania (NCCR-Mageuzi kisha kuhamia CCM)
Alikuwa Mhadhiri mwandamizi (Senior Lecture) katika Chuo Kikuu cha Tumaini
Akiwa NCCR-Mageuzi, alikuwa na wanasiasa wengine wakongwe kama Mabere Marando, Marehemu Dkt. Sengondo Mvungi(RIP), Augustine Mrema, Makongoro Nyerere, Prince Bagenda, Ndimara Tegambwage na Stephen Wassira
2h
HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE
No comments:
Post a Comment