Breaking

Friday, May 22, 2020

Cheed na Killy Baada ya Kuondoka KINGS Music Wanaenda Wapi ? Jibu Lipo Hapa


Inaweza Ikawa Habari Mpya Kwako, Ila Kaa Ukifahamu Hilo, Aswa Huyu Msanii OfficialCheed Kamati Yetu Ya Umbea Ilitupa Taarifa Yake Kabla Ya Kutoka KingMusic Na Kutaka Kuingia Katika Lebo Ya Konde Music Worldwide Ya HarmonizeTz Akiwemo Na Officialkilly.

Pia Fahamu Hili, Wasanii Hawa Kipindi Wapo KingMusic Ya Alikiba, Killy&Cheed, Alikiba Alikua Nao Hawa Wasanii Bila Ya Kuwasajili, Yani Hawakuwa Na Mkataba Wote Kati Yao.

Lakini Pia Mpka Sasa Hivi Bado Haijajulikana Cheed&Killy Walikosa Nini Kwa Alikiba Mpka Wakajiondoa KingMusic Ila Matumaini Yetu Tutapata Habari Ilio Kamilika Kutoka Kwa Alikiba Kwa Nini Wameamua Kuondoka Katika Lebo Yake, Nini Walicho Kosa Kutoka Kwake.

Tukiwaondao Wasanii Cheed&Killy KingMusic Itabaki Na Wasanii Wanne, K2ga, AbduKiba, TomFleva, Na Alikiba Mwenyewe.

HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE

1 comment: