Breaking

Tuesday, May 5, 2020

Dereva na Konda Wake Waliokuwa Wanaendesha Gari la Abiria Kwa Mwendo wa Hatari na Kuyumbisha Wakamatwa

Habari Picha ; dereva na tingo wa basi wamekamatwa na jeshi la polisi tayari. Sheria itachukua mkondo wake. Hapa wakiwa wamepiga picha ya pamoja wakisubiri futari kituoni πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™πŸΏπŸ™πŸΏ ..Hawa ndio walikuwa wanaendesha Costa la abiria kwa kuyumbisha yumbisha

Jana Video hiyo ya basi la abiria likiendeshwa kwa mwendo wa hatari ilisambaa katika mitandao ya kijamiii....

HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE

No comments:

Post a Comment