Breaking

Wednesday, May 6, 2020

Diamond Platinumz aacha gumzo mtandao baada ya kusema Wasafi Tower imefikia 80%Nyota wa Bongo Fleva Diamond Platinumz ameacha kitendawili katika mitandao ya kijamii baada ya kuposti kuwa mjengo mrefu wa Wasafi umefikia asilimia 80 hivyo bado asilimia 20 tu.

Kupitia ukurasa wake wa Twitter Diamond ameandika “WASAFI TOWER….80%”

Hata hivyo hakutoa maelezo Zaidi katika posti hiyo jambo ambalo limeibua mjadala watu wakitaka kujua mjengo huo unajengwa wapi na utakuwaje
HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE

No comments:

Post a Comment