Breaking

Friday, May 22, 2020

Fahyma Atajwa Kuumbuka Mchana Kweupe..Jumba Alilosema Wamenunua Layeyuka


Miezi kadhaa iliyopita Fahyma akihojiwa na Ijumaa amesema mjengo aliokuwa akiishi na Rayvanny huko Salasala, Dar ni wao wameujenga kwa kudunduliza -

Lakini kuumbuka kwa Fahyma kumetajwa kufuatia mjengo huo kuingizwa sokoni na dalali ili kupangishwa. Dalali huyo alipoulizwa na Risasi inakuwaje Wakati mjengo huo Fahyma alisema yeye na Rayvanny wameujenga? Dalali amesema sio kweli Rayvanny alikuwa ameukodi tu kwa mwezi gharama ikiwa milioni 1.8 za za Kibongo
Dalali alipoulizwa kama Rayvanny amefukuzwa na mwenye nyumba ? Amesema sio kweli bali Rayvanny ameondoka mwenyewe baada ya kodi yake kuisha

HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE

No comments:

Post a Comment