Breaking

Monday, May 18, 2020

Inasema Kama Penzi la BEN Pol na Anerlisa Kutoka KENYA Limevunjika....Hakuna Tena Kula Bata


Inasemekana kuwa Penzi la Msanii Ben Pol na Msichana Tajiri Kutoka KENYA kwa Sasa linapumulia Mashine....

Na Hii Insemekana Imetokea Baada ya Kuona Wawili Hawa Hakuna Tena Zile Show Off Ambazo Watu Walisha Zizoea Kutoka Kwa Wawili Hawa BEN POL&ANERLSA, Inadaiwa Kua Teyari Mausiano Yao Yamesha Kufa Ila Papalazi Wetu Wameingia Kazini Kutafuta/Kufwatilia Ukweli Wa Jambo Hili.

HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE

No comments:

Post a Comment