Breaking

Tuesday, May 5, 2020

Lema Acharuka "Kuna Watu Wanafikiri Kufa Kwa Demokradia ni Hasara Kwa Chadema"

Mbunge wa Arusha mjini (Chadema), Godbless Lema amesema wapo baadhi ya watu wanadhani kifo cha Demokrasia ni hasara kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).

Lema amesema wajibu wa kulinda demokrasia ni kazi ya kila mtu wanaokosa nidhamu katika kusimamia kanuni wameleta majozi.

Mbunge huyo aliandika ujumbe huo katika ukurasa wake wa twitter kuwa endapo ukawafundisha watoto wako kujitegemea alafu wakashindwa kuheshimu haki watabaki kuwa watumwa.

“Ukiwafundisha watoto wako kujitegemea alafu wasijue kuheshimu haki bado wataendelea kuwa watumwa,” aliandika Lema katika ukurasa wake wa twitter

HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE

No comments:

Post a Comment