Watu watano wamefariki Dunia huku wengine takribani 150 wakifanikiwa kuokolewa baada ya Hospitali inayowatibu wagonjwa wa virusi vya corona kuwaka moto St. Petersburg Urusi, Wagonjwa kadhaa wanaripotiwa kujeruhiwa.
HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE
Tuesday, May 12, 2020
Majanga..Hospitali inayowatibu Watu wa Corona imewaka Moto, Watano Wafariki Dunia na 150 Waokolewa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment