"Majuto ambayo ninayo ni kwa dada yangu au kama ningekuwa na mtoto wa kike ambaye angeiona hii video japo tukio hilo limenitingisha na ni aibu kwa familia yangu, nilikuwa naongea na mwanamke wangu kwenye "face time" nikamwambia acha nikaoge akawa haamini nikamwambia nitakutumia video muda sio mrefu" amesema Calisah
"Sasa mtandao wa Snapchat una sehemu ya kuziweka au kushea ambazo zipo karibu sana, wakati narekodi nilikuwa nataka niisave na mikono yangu ilikuwa ina maji, kwa bahati nikabonyeza sehemu ya kutuma na kushea ila baadaye nikaifuta" ameongeza
HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE
No comments:
Post a Comment