Breaking

Thursday, May 14, 2020

Mbunge Asema Lazima Watu Wanakufa, Taarifa za Corona zitolewe ili Kudhibiti Propaganda Ovu Dhidi ya Tanzania

Mbunge Asema Lazima Watu Wanakufa, Taarifa za Corona zitolewe ili Kudhibiti Propaganda Ovu Dhidi ya Tanzania

Mbunge wa chama cha CUF Jimbo la Konde amesema lazima watu wakubali kuwa kuna wanaokufa lakini changamoto ni kwamba hakuna anayejua chanzo cha kifo kama na Corona au kinginecho.

Amesema kuna haja ya kutoa taarifa za mwenendo wa ugonjwa corona kwa kutoa takwimu mara kwa mara ili majirani dunia ifahamu na kuacha kueneza propaganda ovu.

na “Lazima tukubali watu wanakufa, kwa sasa hatujui wanakufa kwa Corona ama vifo vingine ni vizuri wale wanaokufa kwa gonjwa hili tutangaziwe, ipo haja ya kupewa taarifa ya ugonjwa huu ili majirani na Dunia nzima ijue na kuacha kueneza propaganda ovu”- Mbunge Khatib Haji.
 HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE

No comments:

Post a Comment