Breaking

Thursday, May 14, 2020

Mganga Hospitali ya Wilaya ya Kongwa ahukumiwa kwa kuuza damu


Mahakama ya Wilaya ya Kongwa imemhukumu kwenda jela miaka mitatu au kulipa faini ya shilingi laki tano, Tabibu wa Hospitali ya Wilaya ya Kongwa, Martin Ndahani Daniel, baada ya kupatikana na hatia ya kuomba rushwa ili ampe mgonjwa damu.

Akitoa taarifa jijini Dodoma kuhusiana na hukumu hiyo, Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Dodoma, Bw. Sosthenes Kibwengo, amesema Daniel alimuomba mgonjwa rushwa ya shilingi 80,000 ili amuwekee damu

 HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE

No comments:

Post a Comment