Mkuu wa mkoa wa Iringa Ally Hapi amewataka watanzania kuanza kuwatetea wabunge wa chama kikuu cha upinzani nchini CHADEMA kutokana na kukosa furaha ndani ya chama chao
“Wabunge wa Chadema huenda ndio wabunge wanaoongoza kutokuwa na furaha tangu vyama vingi vianzishwe nchini. Hawana uhuru na ubunge wao, wanakatwa mishahara yao ya ubunge na hawaruhusiwi kuwa na ndoto za uongozi isipokua kwa ruhusa ya “Mwenyekiti”. Tukemee huu udikteta uchwara.” Ameandika Hapi kwenye ukurasa wake wa mtandao wa Twitter
Kauri ya Ally Hapi inakuja ikiwa ni siku hache Tangu kuzuka kwa mgongano kati ya bunge wa chama hicho juu ya kuhudhulia vikao vya bunge la bajeti linaloendelea mjini Dodoma
HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINEWabunge wa Chadema huenda ndio wabunge wanaoongoza kutokuwa na furaha tangu vyama vingi vianzishwe nchini. Hawana uhuru na ubunge wao, wanakatwa mishahara yao ya ubunge na hawaruhusiwi kuwa na ndoto za uongozi isipokua kwa ruhusa ya “Mwenyekiti”. Tukemee huu udikteta uchwara.— Ally Salum Hapi (@AllyHapi) May 12, 2020
No comments:
Post a Comment