Breaking

Thursday, May 14, 2020

Msigwa Atoa Suluhisho Vita Dhidi Ya Corona


Mbunge wa jimbo la Iringa Mjini (Chadema), Mchungaji Peter Msigwa, amesema changamoto ya mdororo wa uchumi inayosababishwa na mlipuko wa virusi vya corona haiwezi kutatuliwa kwa haraka nchini kutokana na mbinu zinazotumika kukabiriana na hali hiyo.

Kupitia ujumbe aliotuma kwenye ukurasa wake wa mtandao wa Twitter, Msigwa amesema wanaopambana vita hiyo wanamshambulia adui asiye husika

“Changamoto ya mdororo wa uchumi na Covid-19 nchini Tanzania, haitaondoshwa kwa mayowe ya ushabiki wala kupambana na CHADEMA. You are fighting the wrong enemy Mnahihitaji misuli ya ubongo na sio misuli ya nguvu.” Ameandika

 HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE

No comments:

Post a Comment