Breaking

Wednesday, May 13, 2020

Mwanza Airport yapewa Hadhi ya Kimataifa

Uwanja wa ndege Mwanza umepewa hadhi ya kimataifa rasmi kwa kusafirisha minofu ya samaki kwenda moja kwa moja nchi za Ulaya

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Issack Kamwelwe anaelezea

 HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE

No comments:

Post a Comment