Breaking

Sunday, May 3, 2020

Rais Magufuli leo tarehe 3,2020 atamuapisha Dkt. Mwigulu Nchemba


Rais wa Tanzania , Dkt. Magufuli leo tarehe 3 Mei, 2020 atamuapisha Dkt. Mwigulu Nchemba kuwa Waziri wa katiba na sheria, Wilayani Chato ,Mkoa wa Geita. Mwigulu aliteuliwa jana kushika wadhifa huo akichukuwa nafasi ya Balozi Agustine Mahiga ambaye amefariki dunia.

HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE

No comments:

Post a Comment