Breaking

Sunday, May 17, 2020

Rais Magufuli "Watalii waje na wasiwekwe karantini"

“Kuna Mashirika ya ndege yameshabook Watalii, hadi mwezi wa 8 ndege zimejaa, wanakuja kwasababu wanaujua ukweli, Tanzania ni salama, nimetoa maagizo kwa Waziri wa Maliasili na wa Uchukuzi, waruhusu ndege zije na wasiwekwe karantini, wakipimwa joto liko sawa waende wakatalii” -JPM

HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE

No comments:

Post a Comment