Breaking

Friday, May 15, 2020

Viongonzi wa TFF Wanahojiwa na Takukuru kwa Matumizi Mabaya ya Fedha zikiwemo za Rais Magufuli


Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) imesema Shirikisho la Soka nchini (TFF) kuna fedha zimetumika vibaya.

Mkurugenzi Mkuu wa Takukuru, Brigedia Jenerali John Mbungo, amesema kuna fedha zimetumika vibaya zikiwemo zilizotolewa na Rais John Magufuli

Amesema baadhi ya watuhumiwa wameitwa na kuhojiwa na nyaraka mbalimbali zimechukuliwa.
 HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE

No comments:

Post a Comment