Breaking

Friday, May 15, 2020

Watanzania 246 waliokwama India wawasili nchini

  Watanzania 246 waliokuwa wamekwama nchini India kwa sababu ya janga la Corona wamewasili nchini mchana huu baada ya kuondoka jijini Mumbai India leo asubuhi. 

 Jumla ya watanzania 246 waliokwama nchini India kutokana na COVID-19 na Lock Down India , wameondoka leo kurejea Tanzania na Air Tanzania Boeng 787-8 Dreamliner iliyoletwa na Serikali .

Wengi wao ni wagonjwa na wanafunzi wahitimu kutoka katika vyuo mbalimbali nchini India.

 HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE

No comments:

Post a Comment