HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE
Wizara ya Afya Kenya imesema Watanzania wawili ambao wamebainika kuwa na corona katika mpaka wa kuingilia Kenya wa Isebania, wamezuiliwa kuingia nchini humo na wamerudishwa Tanzania, wagonjwa hao wawili hawajaonekana kuhesabiwa kwenye idadi mpya ya wagonjwa Kenya.
Mamlaka za Kenya sasa zimeweka utaratibu wa kuwapima kwanza corona Madereva Malori na Watu wengine wakiwa mpakani kabla ya kuwaruhusu kuingia Kenya.
HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE
HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE
No comments:
Post a Comment