“Asante Rais Magufuli kwa kuendelea kuniamini na kunitia moyo katika kusimamia Sekta ya Afya nchini hasa kipindi hiki cha mapambano dhidi ya #COVID19, naahidi kuendelea kuitumikia Nchi yangu kwa bidii, uaminifu na maarifa zaidi”-Ummy baada ya pongezi za JPM
HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE
No comments:
Post a Comment