Mpka Sasa Hivi Haijajurika Kimetokea Nini Kati ya Msanii Rayvanny na Management Yake WCB/ DiamondPlatnumz, Kupitia Ukurasa Wake wa Instagramu Rayvanny Amefuta Picha Zote na Kuacha Instagram Account Yake Kuto Kua na Picha Hata Moja.
Swala Hili Wewe Kama Mdau/Mpenzi wa Muziki Hapa Tanzania Umelichukuliaje?
HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE
Thursday, May 7, 2020
WCB Wasafi Yazidi Kupasuka..Yadaiwa Rayvanny Naye Kajitoa...Kafuta Picha zote Instagram
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment