Breaking

Saturday, May 16, 2020

Wolper Alizwa Mil. Moja Dukani, Atangaza Kumdhalilisha ‘Mwizi’


MbuBUNIFU wa mavazi na muigizaji wa Bongo Movie, Jacqueline Wolper . jsns Mei 15, 2020, ametangaza kumdhalilisha mtu aliyemtaja kwamba amemuibia shilingi milioni moja ambapo ata-post video katika mitandao ya kijamii inayomwonyesha akifanya kitendo hicho iwapo  hatarejesha pesa hizo ndani ya siku mbili

Ameeleza kuwa ameibiwa fedha hizo na mtu aliyejifanya mteja alipokwenda dukani kwake duka lake la nguo la ‘HOUSE OF STYLISH’ akidhaniwa kuwa mnunuzi wa bidhaa kumbe hakuwa na lengo hilo na badala yake akawa ameiba kiasi hicho cha pesa


Wolper anasema amemgundua mwizi huyo kupitia katika CCTV CAMERA alizozifunga dukani hapo

Aidha ametoa siku mbili kwa mtu huyo kurejesha fedha hizo na kama hatofanya hivyo basi atampost kwenye mitandao ili watu wamfahamua kama ni mwizi.

HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE

No comments:

Post a Comment