Breaking

Friday, June 5, 2020

Aliemchumbia Wolper kafunguka kuvunjika kwa penzi lao ‘Hakuna Ndoa’

Mnamo Mei 30, 2020 Mwigizaji Wolper aliingia kwenye vichwa vya habari baada ya kuvishwa Pete na Mpenzi wake Chid Designer, sasa leo June 4, 2020 yameibuka mapya ambapo mbunifu huyo aliemchumbia Wolper amefunguka mbele ya waandishi wa habari kuhusu kuvunjika kwa Penzi lao. 

Kwanza Wolper alikuwa ananijua, ni rafiki yangu kwahiyo naweza nikamvalisha Pete hata kama sio mpenzi wangu lakini pia naweza nikamzawadi Pete kama zawadi zingine, Wolper ni mwanamke ambae analitafuta Pesa kwa jacho lake mwenyewe, na taarifa za kuachana mimi na yeye ni kweli sio wapenzi na wala Ndoa hakuna- Chid Designer

HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE

No comments:

Post a Comment