“Jana Rais Magufuli alimpongeza Ummy kwa kusimama imara hususani wakati wa mapambano dhidi ya corona, JPM alisema
“tunamshukuru Mungu kuiepusha Tanzania dhidi ya corona, kwa namna ya pekee nampongeza Mwana-Mama Jasiri Waziri Ummy Mwalimu kwa uvumilivu wake, nilimtesa sana Ummy maana nilikuwa nampigia simu mara nyingi hadi saa 8 usiku, naomba aniombee msamaha kwa Mumewe”
HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE
No comments:
Post a Comment