Breaking

Monday, June 15, 2020

Zari Alivyowatapikia Nyongo Wabongo Wasiompenda...."Watu Maskini Ndio Wanaochukia Watu Matajiri"


"Nikiwa ninaambiwa Niko desperate Mara nawatumia watoto kurudiana na diamond hivi nikirudiana nae Nini kinachofanya mteseke? Kuna wengine wana nionea wivu kwa Sababu me nina pesa wakati wao ni masikini wanauza nyanya vitunguu uko, me ni mwanamke mzuri wakati wao wana sura mbaya,unakuta mtu ana vocha ya 100 anawasha hotspot kwa wenzake 7 wanalala kwenye godoro moja alafu wanakuja kunitukana Mimi ambaye ninatoka kwangu Nina gari Kali naenda ofisini"

''Pia sijawahi kuona mtu mwenye Mafanikio anamchukia mtu mwingine mwenye Mafanikio Mara nyingi watu wenye wivu ambao Ni masikini ndio wanachukia watu matajiri Leo hii siwezi Mimi zari kutoka Africa eti nimchukie Oprah wa Marekani hata nikimchukia ninapata faida gani? Kwani itamzuia yeye asipate Mafanikio? Aliyepewa kapewa tu watanzania/baadhi wanatakiwa wawe inspired badala ya kuwa na chuki''


HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE

No comments:

Post a Comment