Breaking

Sunday, August 23, 2020

UTAMU WA MAMA Sehemu Ya 46

Image may contain: 1 person, text that says '46 UTAMU wa MAMA starTTV DOWNLOAD APPLICATION YETU KWA SIMULIZI NZURI NZURI NAZAKUSISIMUA ZAKUSISIM MUA DOWNLOAD'


  MTUNZI: GODFREY GODSTAR

CONTACT: 0712730692

FB PAGE: Godstar_tz

SEHEMU YA 46

"sasa sikia masumbuko mimi dogo namtaka,maana ule mkund* unanipagawisha hivyo nahitaji msaada wako"

mmmh moyo wangu ulifanya paaa...

#ENDELEA NAYO

nikaona hii sasa ni balaa ukisikia kuchikiana na walimu ndio huku,nilijikaza kisabuni na kujikuta namjibu mwalimu kwa upole sawa nitajaribu.

"aaah masu ebu kuwa mkweli bwana sio goma lako lile maana unaniitikia kwa unyonye?"

basi nikalitoa tabasamu la kujilazimisha la haraka haraka.

mwali aliniacha na mimi nikawa naelekea darasani kwa unyonge kabisa.

jioni ya siku hiyo nilikuwa njiani nikielekea nyumbani kwa babu sikutaka kwenda kwa madame vero,njiani mawazo yalikuwa kibao kichwani mwangu,ukweli kabisa swaumu alikuwa ameshaingia mazima ndani ya moyo wangu,nilimpenda kwa dhati na hii yote ilitokana na kujitambua na kunitambua nikiwa kama mpenzi wake kwake,alinipatia heshima stahili kwangu,uongo aliuwekea mgongo,hakutaka kusikia la muazini wala la mnadi swala juu yangu.

niliingia kwenye kichaka kimoja nikawa najisaidia haja ndogo,ile namalizia kukojoa tu nilimuona baba yake swaumu.

"oooh mwanangu naona kiangazi kimekuwa kikali zana jua linawaka,hadi unaamua kumwagilia kwa mkojo"

alikuwa ananiambia hayo kwa utani huku akicheka.

nilimpa heshima yake na yeye hakusita kuitikia salamu yangu.

"pole kwa uchovu kijana wangu,maana unaposoma mbali sana,mwanangu swaumu huwa akirudi analala kwanza kwa uchovu,kama vile huko shule munabeba majabari"

huyu mzee alikuwa ni mcheshi sana ila alikuwa pia ni mkorofi sana kama ukimtibua tena na uwenyekiti aliopewa ndio kabisa anapata kiburi.

"aya bhana ngoja basi niingie hapo chikoti,naenda kukata magogo"

mzee aliniacha na mimi nikawa nasonga mbele nikiitafuta nyumba.

nilifikia kitandani na kupitiwa na usingizi moja kwa moj@a.

sauti ya binti mdogo ndio ilinishtua kutoka usingizini.

ilipenya barabara kwenye ngoma za masikio yangu.

"kaka masumbuko unaitwa na mama"

baada ya kuisikiliza sauti hiyo nilijua fika ni mtoto wa yule mama anayenichukia,sasa kichwani kukawa na mawazo nimefanya nini hadi leo huyu mama ananiita,mmmh niliguna huku imani yangu ikiniambia kuna mambo nimeyavuruga.

nilimjibu yule mtoto kwamba mwambie mama yako nakuja.

nilipoangalia saa yangu ya kumwekamweka saa iliniamba ni saa 2 kasoro.

nilichukua maji kwenye kopo nikausuuza uso wangu kidogo.

miguu yangu nilianza kuitembeza nikielekea kwenye nyumba ya yule mama.

sauti iliyoniambia karibu niliisikia vyema baada ya kubisha hodi na yule mama kunijibu.

"masumbuko huyo,mzima,wangu?"

nilishangaa maana niliona hii mpya leo,huyu mama tangu nimfahamu sikuwahi kupata kuona tabasamu lake ila leo nililiona tena kwa meno yote thelathini na mbili na kikubwa zaidi nilistaajabu alipotumia neno la my.

"ngoja nikupe kwanza chakula,maana leo nimejikuta tu uje kwangu tupige hadithi za hapa na pale?

wakati hayo yote yanaongeleka kwa muda huo tulikuwa wawili tu na mtoto wake hakuwa hapo alikuwa kwenye nyumba nyingine mbali kidogo na hapo.

nilipatiwa chakula nikawa nakula ila cha ajabu yule mama alitoka pale sebuleni na kuingia chumbani kwake.

chakula kilikuwa kitamu,mashallah huyu mjane anajua sana kupika,nilijiramba na kujing'ata ulimi balaa.

haikuchukua muda yule mama alitoka chumbani kwake akiwa amevaa kanga moja tupu,ukweli kabisa kuna wanawake watu wazima ila mungu amejua kuwaumba,jamani mungu anaumba nyie na wala hakosei katika uumbaji wake.

alinisogelea karibu yangu,mapigo ya moyo wangu yalianza kudunda kwa kasi,kijasho chembamba kilinitiririka ndani ya kifua changu.

"masu naomba nikueleze jambo moja na ninaomba unisikilize kwa umakini"

nilimkubalia nikamwamba niambie.

"masumbuko wewe ni kijana mdogo sana kwangu nadhani unalijua hilo,sasa inafika mwaka wa 4 tangu marehemu mume wangu afariki,nikawa najikuta sitaki kuingia kwenye mahusiano ila nimejikuta natamani tu kitu kutoka kwako baada ya"

mmh masumbuko nilistaajabu kidogo maneno aliyokuwa ananiambia huyu mama.

USIKOSE SEHEMU YA 47 YA HADITHI HII TAMU YA UTAMU WA MAMA.

DOWNLOAD APPLICATION YETU SASA KWA SIMULIZI NZURI ZA KUSISIMUA.

SAMBAZA KWA WENGINE NA HUKO MBELE NDIO KUTAMU ZAIDI

No comments:

Post a Comment