Breaking

Sunday, August 23, 2020

UTAMU WA MAMA Sehemu ya 57

 


Image may contain: 1 person, text and outdoor

MTUNZI: GODFREY GODSTAR

CONTACT: 0622177392

FB PAGE: https://www.facebook.com/godstaronline/
AGE:18+

SEHEMU YA 57

ILIPOISHIA

mwanaume bila kutegemea chozi lilianza kunidondoka,harufu ya jele kwa mbali nilianza kuisikia.

#ENDELEA NAYO

nilijitahidi sana kumuamsha angel tena nikimtikisa kwa nguvu lakini kila nililokuwa nalifanya lilikuwa ni hola.

majuto ni mjuu hapa ndipo nilipoanza kusema laiti ningejua nisingethubutu kufanya naye mapenzi.

akili ya kummwagia maji ilinijia ndipo nilipoenda kuchota maji kwenye ndoo na kummwagia ila kama vile ndio nilikuwa namuongezea usingizi vile.
masumbuko mie nilianza kujisonyasonya na kujitukana huku nikiwa nimeshikilia kichwa changu,angel alikuwa haemi wala akohoi na sio kuhema tu na kukohoa hata kuguna hakuguna.

niliketi pembeni yake huku nikimtazama na nikimuomba mungu anitoe kwenye janga hilo.

nilichukua uamuzi wa kumbeba,alikuwa uchi wa mnyama na moja kwa moja nikampeleka chumbani kwake na kumlaza kitandani.

nilimshika paji lake la uso huku nikimwambia namuomba anyanyuke,nayaongea hayo huku mwanaume masu nikiwa nalia urijali wangu wote niliuona si lolote si chochote kwangu.

nilifungua mlango na kutoka chumbani kwake huku nikiwa nimemuacha kitandani,mawazo ya kutaka kukimbia yalinijia ila kama vile malaika wa mungu walikuwa wananiambia itakuwa ni hatari zaidi ila shetani ana nguvu zaidi aliniambia acha upumbavu ubaki inangoja nini.

basi shetani alikuwa na ushawishi mkubwa kwangu niliingia chumbani na kuvaa nguo zingine,nikachukua kibegi changu,sikutaka kuingia chumbani kwa angel tena zaidi nilielekea kwenye mlango wa kutokea nje ila ile nashika kitasa cha mlango tu nilisikia mtu akikohoa chumbani,nikashindwa kuamini nikakaa kwa muda nisikilize ni kweli au laa,gafra ile sauti ya kukohoa ilijirudia tena na ndipo nilipogundua alikuwa ni angel,nililitupa begi langu haraka chini na kukimbilia chumbani kwake haraka,duh nilishusha pumzi kwa haraka maana sikuamini nilichokiona,angel alikuwa amekaa kitandani.

"kaka mbona unahema hivyo?"

"vipi kwanza...alafu imekuwaje huku tena wakati tulikuwa jikoni bby?"

sikumjibu chochote kwa wakatii huu nilibaki nikimtazama huku nikiwa simpatii jibu juu ya kupona kwake kwenye tundu la sindano dhidi ya kifo.

"kaka bwana si naongea na wewe,sikuelewi unahema alafu tupo chumbani na tulikuwa jikoni,ebu njoo sogea hapa"

mmh aliponiambia nisogee nikajisemea mwenyewe ndani ya moyo "aah wapi sio kwa leo tena"
basi nilisogea hadi kitandani alipokuwa na kwa muda huu alikuwa bado hajavaa nguo.
nikamuuliza kama anakumbuka chochote cha nyuma.

"kaka nakumbuka tulikuwa jikoni tukawa tunasex ila ulipokuwa unaninyonya hasa pale ulimi ulipoutia nyuma na kuniingiza kidole mbele,masu huwezi amini katika maisha yangu sijawahi kusikia raha ya ajabu ndani ya mwili wangu kama ile,ukweli kabisa nilihisi kupaa,nilitamani kupiga mayowe kila jirani ajue uwezo wako,nilitamani ulimi nao uzame wote,nilipokuwa nakojoa tena mkojo wa kawaida ambao sijawahi kuiona hali hii hapo kabla,nilipatwa na ganzi na shoti katika mwili,ila baada ya kukojoa tu sijajua kilichoendelea najikuta tupo huku chumbani"

dah majibu ya angel yalinifanya kuhema kwa utaratibu huku nikiwa nimemtazama,sikuwa na neno zaidi ya kumwambia baada ya kukojoa ulipoteza fahamu kabisa na ndio maana unajiona hapa.

angel alitabasamu kisha akinipa pole ya dhati.

"masu,kuanzia leo nakuomba nikuute mume wangu,naomba hisiniache,nipoteyari kufanya lolote kwa ajili yako,umenifanya nijione kuwa mimi ni msichana na ninapaswa kuwa na mwanaume kidume na sio mwanaume kujike"

baada ya kuniambia hayo nilicheka sana.

nilimnyanyua kutoka kitandani na moja kwa moja tulienda chooni kuoga,kwa muda huu sikuwa na uchu tena wa kutaka kufanya mapenzi,zaidi tulikuwa tunafurahi wote na ilikuwa siku nzuri kwangu maana alinifundisha vyema kupika baadhi ya vyakula ukweli kabisa angel alinipenda sana ilikuwa tofauti kidogo na upendo wangu kwake.

kibaridi cha usiku ambacho kilikuwa kimeambatana na vijinyunyu vya mvua vilinifanya niwe katika dunia nyingine kabisa ya usingizi,shuka langu lenye ukubwa wa kutosha lilienea vyema katika mwili wangu kuanzia juu hadi chini ya unyayo.

honi ya gari ndio kitu pekee ambacho kilinitoa kwenye njozi,nilikurupuka baada ya kuisikia na nilijua vyema kwamba alikuwa ni madame vero,alikuwa ndio anarudi kutoka kwenye shughuli aliyokwenda.

nilivaa pensi yangu nikaelekea hadi kwenye geti kuu nikafungua mlango na madame alipata nafasi ya kuiingiza gari yake ndani.

ukweli kabisa ndio ilikuwa siku yangu ya kwanza namshuhudia madame akiwa tungi balaa,yaani hashikiki.

"wewe masu..in..inamaana wakati napiga honi hamsikii au vipi?"

madame alikuwa ananiuliza hayo huku akinesanesa mithri ya kinyonga mwenye utajiri wa rangi,sikumpa jibu lolote kwa muda huo.

"aya uyu mchumbaako yupo wapi?....ooh sorry dada yako yupo wapi?"

madame akawa anapiga hatua kuelekea ndani ila pombe zilimzidi na akakosa balansi ya kutembea hivyo nikaamua kwenda kumfuata na kumshika.

nilimpeleka hadi chumbani kwake na kumbwaga kitandani ila wakati nataka kuondoka tu akaniita.

"masu unenda wapi,au unaona raha kuniacha peke yangu humu ndani,come come"

dah moyo wangu ukaingia hofu,nilipopiga jicho vizuri pale kitandani niliziona baadhi ya shanga zikiwa zimezagaa.

"nakuomba uje hapa"

nilisogea hadi alipo kwa ajili ya kumsikiliza anachokitaka.

"masu...naomba uniokotee hizi shanga vizuri alafu uniwekee mule kwenye kabati la kati pale"

bila hiyana nikiwa kwwnye majaribu makubwa nilifanya kama alivyotaka,wakati naziokota jicho lake lote lilikuwa kwangu mimi .
nilizichukua na kuziweka kwenye kabati lake la nguo.

mamaa nilipofungua lile kabati nilikutana na lundo la chupi zake,tena zile za kupita kati kama bush men,huwezi amini madame vero alikuwa na chupi kibao za kila aina ya rangi.

nilipomaliza aliniita tena nisogee mahala alipo.

"naombaaaa..naomba univue brauzi masumbuko mdogo wangu"

sasa hapa ndipo palikuwa pabaya jasho likawa linanitiririka,nafsi ilisita kabisa kufanya anavyotaka ila sauti ya mara ya pili ya kuniamuru kwa ukali ndio ilinifanya nimvue brauzi yake na kubakia na sidiria ya pink yenye viua ua vya rangi nyeupe.

hapa ndipo niliona mkato mzuri wa mgongo wa madame vero,mgongo wake ulikuwa umejigawa vizuri kabosa.

"asantee..mtoto mzuri ila bado haujamaliza,nivue sidiria na uifungue vishikizo vizuri husije ukaiharibu sawa"

dahh nilibaki nikilalama kwa mungu ni mitihani gani hii unayonipa leo,maana ni mikosi juu ya mikosi.

nilisogea nyuma ya mgongo wake kama alivyotaka na kuanza kuifungua sidiria yake na nilihakikisha nimeifungua vizuri na kumuacha juu kama alivyo.

jamani jamani,madame vero aligeuka mzima mzima kwangu bila kujali mimi ni nani kwake,yaani pombe hizi,hapa ndipo nilipogundua uzuri wa maziwa ya madame vero,alikuwa na maziwa madogo tofauti na mwili wake,alinitazama kwa muda kisha akanyanyuka na kuchukua khanga yake,alivua kimini gauni lake mbele yangu na kuivaa kanga yake,nilibaki nimeshikwa na butwaa,alinifuata mahala nilipo akanishika mkono na kuniambia.......

**************ITAENDELEA************”👄👄👄

DOWNLOAD APPLICATION YETU SASA KWA MUENDELEZO NA SIMULIZI NZURI ZA KUSISIMUA OFFLINE.
👉https://play.google.com/store/apps/details?id=com.godstarapp

SAMBAZA KWA WENGINE TAFADHALI

No comments:

Post a Comment