Breaking

Sunday, August 23, 2020

UTAMU WA MAMA Sehemu ya 59

 

Image may contain: 1 person, text

MTUNZI: GODFREY GODSTAR
CONTACT: 0622177392
FB PAGE: https://www.facebook.com/godstaronline/
AGE:18+

SEHEMU YA 59

ILIPOISHIA
kwa hakika nilimpa kitomb* kinachostahili kabisa.

ENDELEA NAYO
pilika pilika za angel pale ukumbini alipokuwa anafanya usafi ndizo zilinistua kutoka kwenye usingizi mnono na wa uchovu,mwili wangu haukuwa na nguvu kabisa,jicho langu lilipopiga pembeni lilimuona madame vero akiwa amekilaza kichwa chake juu ya kifua changu,aligundua fika kwamba nimeshaamka na kwa muda huu pombe zilikuwa zimemuisha na mimi niligundua kuwa alikuwa anaona aibu ila ili nimuondoe aibu nikaamua kumpiga denda bila hofu.
alijifanya kama amelala vile ila mwisho aliamua kulipokea na kunipa ushirikiano mzuri,aliikamata shingo yangu vyema na kunivutia kwake,tulikunyw
a juisi ya denda kwa dakika kadhaa hivi.
"masumbuko..naomba unisamehe sana najua nitakuwa nimekukwaza kwa kitendo kilichotokea jana,nilijikuta tu mdogo wangu natamani penzi hivyo nikashindwa kujizuia"
madame alizidi kuniomba msamaha wa dhati ila nilimwambia usihofu juu ya hili na mimi nililijua hilo ila ilinipaswa nikuridhishe na wewe ufurahi.
"kweli umenisamehe masumbuko?"
hahahaha nilicheka kidogo kusha nikamjibu tena kwamba bila wasiwasi awe huru.
"nashukuru sana ila ninaombi moja kutoka kwako masu"
mmmh ilinipasa kumsilikiza kwa makini ili nijue ni ombi gani kutoka kwa madame vero"
"masu naamini jana pia zilikuwa ni pombe ila asahivi naongea nikiwa sijalewa,naomba lile lililotokea usiku iwe ni siri ya watu wawili tu mimi na wewe sawa"
nilivuta pumzi na kuishusha polepole kisha nikamwambia nimekuelewa dada.
"ila lingine nakuomba nikuambie ukweli kwa kile ulichonifanyia jana usiku wa kuamkia leo,nimejikuta natamani uwepo wako,nimejikuta sihitaji kukuacha na nimejikuta nalihitaji penzi lako kila muda"
nilibaki nikimtazama madame juu ya anayoyasema kisha nikamwambia sijakuelewa unamaanisha nini.
"naomba nikuulize swali moja masu,unanipenda?"
mmmh lilikuwa ni swali la kustukiza hilo,majibu yake yanatakiwa ni ya kujitoa ufahamu,ukweli kabisa hatakama ulikuwa haumpendi ila kwa mambo aliyonipa jana usiku kwakweli ungempenda tu,madame ameumbika jamani na suala la kumpata lilikuwa akilini mwangu kipindi kirefu sana.
"masumbuko..swali ni gumu au halina majibu,nakuuliza tena unanipenda?"
niliinamia chini kwa muda,ila ile nanyanya kichwa nimpatie jibu lake tu aliniwahi na kuniambia.
"najua unanipenda na mimi namaanisha nahitaji uwe mpenzi wangu,nafahamu hauna kazi,nafahamu unasoma na nafahamu maisha yako yalivyo magumu,nafahamu pia kwamba wewe ni mwanafunzi wangu na mimi ni mwalimu wako tena mwalimu wako wa darasa,unanihes
himu sana ila nisamehe masu,acha nikujuze wewe na kudume na kwa mwanamke yoyote aliyetimia na akaumbika kamwe hawezi kuacha dodo chini ya mpapai,namaanisha wanawake wote wanahitaji mwanaume wa namna yako,wanaojua kuridhisha...wanaojua kusugua na kukuna vizuri,wanaojua kumkojolesha na kumfikisha mwanamke,wanaojua kutomba vizuri,masumbuko nipo teyari kukupa huduma zote ila tu uwe na mimi,unajua kutomb* masu,umenifanya nijue utamu wa mwanaume"
muda wote huu nilikuwa namsikiliza madame vero alivyokuwa anafunguka huku kichwani mwangu nikimuwazia angel tu,nikawa najiuliza nitawezaje kuwamudu mtu na mdogo wake ndani ya nyumba moja na wote hawa nimeshagonga na kila mmoja ameniambia atakuwa na mimi daima,nikaona huu sasa umeshakuwa mtihani.
"naomba uniambie upo teyari na kama upo teyari niahidi kuwa hautoniacha"
nilimtazama kwa muda kisha nikaamua kumpatia jibu lake kwamba nimekubali na sitomuacha.
madame vero alitabasamu na kunikumbatia kwa nguvu,alinipatia denda la nguvu balaa,mmh jamani ukipendwa raha sana,nikajisemea nina mke mdogo na mke mkubwa nyumba moja shughuli ipo humu.
basi bila kupoteza muda nikafungua ukurasa mpya wa mapenzi na mwalimu wangu wa darasa,mwanaume nilimgeuza na kumuweka chini,nilimpiga goli mbili za asubuhi na kunifanya niwe mwepesi kabisa.
muda ulikwenda sana,tuliketi kwenye meza ya chakula na siku hii ilikuwa ni siku tofauti sana kwa madame vero alikuwa mpole na mwenye aibu balaa,jicho langu lilipomwangalia angel alikuwa anaonekana ni mtu mwenye hasira nikawa najiuliza amegundua au vipi,nikawa nina wasiwasi ila majibu niliyapata pale madame vero aliponyanyuka kuelekea chumbani.
"masu...unaweza kuniambia ulikwenda wapi asubuhiasubuhi,maana nimekuja chumbani kwako sijakukuta?"
mmmh ange na wewe,nilienda kufanya mazoezi bwana bby.
"mmh masu wewe muogope mungu...mazoezi hayo umeanza lini jamani,wewe mwanaume mbona unakuwa muongo kiasi hicho,aya na ndio nini jana nimeuacha mlango wangu wazi nikitarajia utakuja na haujaja?"
jamani angel alinibana na maswali ya kibabe,nikazidi kujisemea mwaka huu mtaniua kweli,
nikamwambia nilipitiwa na usingizi,ila hofu yangu ilikuwa je kama alikuja usiku na hajanikuta chumbani si ndio nitakuwa nimeumbuka na huu uongo jamani mmh.
Maisha yaliendelea na siku zilikuwa zinasonga zaidi,ndani ya nyumba moja mtu na mdogo wake niliweza kuwahimili vyema na hakuna hata mmoja aliyepatakujua kama nawachanganya lakini pia upande wa pili swaumu naye alikuwa anapata raha zangu pale ninapopata nafasi ya kwenda kwa babu yangu alkadhalika na mama neema naye pia.
ilikuwa ni tarehe 25 ya siku ya juma tano,siku hii ilikuwa tunamaandalizi ya mahafali ya kidato cha nne kwa bahati nzuri shule yetu maandalizi ya mahafali hufanyika mapema zaidi.
nikiwa darasani nilimuona mama yake swaumu akielekea ofisini kwa mwalimu mkuu,haikuchukua dakika nikamuona na baba yake na yeye anaelekea huko tena akiwa na haraka zaidi,nikawa najiuliza kuna jambo gani linaendelea kwa swaumu na leo ni siku ya tatu sijamuona shule.
ilichukua lisaa limoja wazazi wa swaumu kutoka ofisini kwa mwalimu mkuu.
punde si punde alikuja mwanafunzi mmoja na kuja kuniambia naitwa na mwalimu mkuu.
bila kupoteza muda nilinyanyuka na kwenda kuitikia wito.
nilipoingia kwa mwalimu mkuu bila hofu mwalimu akaniambia niketi kwenye kiti nami nikafanya hivyo.
"masumbuko mwanangu naomba hichi nitakachokuuliza husinifiche niambie kila kitu sawa"
mmh alivyoniambia hivyo tu akautia wasiwasi moyo wangu nikawa najiuliza kuna nini na nimefanya nini.
"masumbuko swaumu wewe ni rafiki yako mkubwa tena sana na leo ni siku ya 3 sasa hajatokea shule na wewe pia nadhani unalifahamu na ninaamini lazima utakuwa unajua sababu iliyompelekea asifike shule"
mmmh nilipatwa na mshangao huku nikiwa najiuliza kuna jambo gani linaendelea,nik
amwambia mwalimu kwamba suala hili ndio kwanza nalisikia kwako ingawa najua hajajashule siku ya tatu ila sijajua tatizo ni nini mwalimu.
"masumbuko ebu naomba uwe mkweli maana ni tatizo kubwa,ukiachana na urafiki wa kawaida tu swaumu ni nani yako?"
eeeeeeh lilikuwa ni swali gumu na sikutarajia kama nikutana na swali hilo,hakika nilikosa jibu la kumpa mwalimu mkuu nikabali namkodolea mijicho tuu.
"swali gumu au vipi masu"
kwakujikaza nikajikuta naropoka ni rafiki yangu tu.
"hahhaha wewe si ndio masumbuko na shule hii inamasumbuko mmoja tu si ndio wewe au kuna masumbuko mwingine?"
kuna masumbuko mimi tu mwalimu,hakika nilikuwa natetemeka balaa maana sijui kuna nini mbele yangu ila kwa maswali ya mwalimu mkuu na ule ujio wa wazazi wa swaumu inaonyesha fika kuna tatizo kubwa.
"masu...sikia mwanangu kuna tatizo kubwa tena kubwa sana,wamekuja wazazi wa swaumu hapa wamekuja kukuulizia na mimi nimewaambia una siku ya tano haujakanyaga shule na mbaya zaidi hawajaja kwa wema wamekuja kwa shari kama wewe ulivyotafuta shari kwao"
nilishindwa kumuelewa kabisa mwalimu mkuu anamaanisha nini maana ndio alikuwa ananipa hofu zaidi,ikanibidi nimuulize kuna jambo gani tena mwalimu.
"masumbuko..swaumu ni mjamzito na amebanwa amesema ujauzito huo ni wa masumbuko ambaye anasoma naye hapa shule na ndio maana wazazi wamekuja hapa na yule mzee amesema atakufunga na atakufanyia kitu ambacho huwezi kukisahau.
wallah jasho lilianza kunitiririka,joto lilipanda ndani ya mwili wangu,hofu ya kufa,kwenda jela au kufanywa lolote ilitawala,machozi yalianza kunitiririka na hapa ndio mjukuu majuto alipokuja,nikaanza kumuomba mwalimu anisaidi mimi.
"masu..nimekusaidi kwa kukuficha ila yule mzee amesema atakupata na atajua tu wapi unaishi,cha kukusaidia naomba uondoke hapa shule kimya kimya nenda nyumbani ujue mnafanyaje wewe na babu yako juu ya hili.
bila kupoteza muda nilitoka harakaharaka na nikaacha begi langu la madaftari darasani.

**************ITAENDELEA************”
DOWNLOAD APPLICATION YETU SASA KWA MUENDELEZO NA SIMULIZI NZURI ZA KUSISIMUA OFFLINE.
👉https://play.google.com/store/apps/details?id=com.godstarapp

SAMBAZA KWA WENGINE TAFADHALI

No comments:

Post a Comment