Breaking

Sunday, August 23, 2020

UTAMU WA MAMA Sehemu ya 60

 


Image may contain: phone, text that says '..... 100% 100% PAKUA - HAPABURE 60 UTAMU WA MAMA Mtunzi: Godfrey Gostar Confirm assword SignUp U'

MTUNZI: GODFREY GODSTAR
CONTACT: 0622177392
FB PAGE: https://www.facebook.com/godstaronline/
AGE:18+

SEHEMU YA 60

ILIPOISHIA

bila kupoteza muda nilitoka haraka haraka na nikaliacha na begi langu la madaftari darasani.

ENDELEA NAYO

nilipita kwenye korda ya walimu staff na hapa walimu walinikodolea macho,hofu yangu na maswali kichwani mwangu nikawa najiuliza na hawa walimu wanajua nini na kwa bahati nzuri siku hii madame vero hakuja shule.

basi nilitoka nje ya shule na hapa nikawa naitafuta njia ya kuelekea nyumbani,kutokana na hofu iliyonitawala ya kutafutwa na wazazi wa swaumu hivyo ili nilizazimu kukatisha poli kwa poli huku mboni zangu nikizipepesa kushoto na kulia,nyuma na mbele na nikiwa makini kwa lolote lile litakalotoke kwangu nikabiriane nalo au kukimbia kabisa.

wakati niko njiani nilisikia sauti za watu wakiwa kwenye mazungumzo na kama unavyojua vijiji huwa ni vidogo kwa jinsi watu wanavyojuana hivyo nilijibanza kwenye mti mmoja nikiwapisha wapite.

mamamamaaa nilibaki nikijisemea kimoyomoyo balaa gani hili,moyo wangu ulifanya paah maana sikutarajia njia hii naweza kukutana na mjomba ake swaumu,mbaya zaidi alikuwa ameshika upanga akiwa na wenzake wawili,bila shaka walikuw wanatokea shamba ila nilijikaza kisabuni mpaka pale waliponipita na macho yangu yakiwa yamehakikisha wamwfika mbali na mimi ndipo nilipochomoka mafichoni na kuendelea na safari.

huku nikiwa bado ninatembea kwa tahadhari kubwa maboma ya nyumbani yakiwa yanaonekana na nikiwa himahima kuwahi kibandani kwangu gafra nilikamatwa mkono na kuvutwa kwa nguvu,macho yangu yalipotazama kwa hofu kubwa nigundua ni mama neema akinivutia kwake.

"ebu njoo huku wewe ujifiche"

mmh nilishindwa kumuelewa anamaanisha nini aliponiambia nije kujificha.

"masumbuko...nilishakuambia siku nyingi acha kutembea na swaumu ni mwanafunzi na hajielewi ebu ona sasa hichi kilichotokea,hapa ninapokuambia baba yake yupo kwa babu yako na ndio maana nimekuvutia huku"

haaaa nilibaki na mshangao nikaona sasa hii imeshakuwa soo kwakweli,sijui nifanyaje,joto la mwili wangu lilipanda zaidi,sikuwa cha kusema zaidi ya kutoa machozi ya uwanaume,nilimuomba mama neema anisaidie japo kwa lolote lile.

"masu mimi unadhani nakusaidia nini mpenzi wangu,kikubwa wewe ni kuhama hapa kijijini na uende mbali kabisa hadi hili janga litakapoisha kabisa,yule mzee nadhani unamjua na huko kwa babu yako kulikuwa na fujo balaa""

dah roho iluniuma sana niliposikia baba yake swaumu amemfanyia fujo babu,babu yangu hakuwahi kuujua ugomvi zaidi ya upole na ucheshi,hakika nilibaki najuta kwa upumbavu wangu nilioufanya,kupenda chini ndio kumenifanya dunia niione chungu kwakweli,nilibaki nikitaja majina ya mungu kwa dini zote ambazo mimi nazifahamu,nilimuomba mungu hata anigeuze nzi niruke pasipo kuonekana.

mama neema alitoka nje kwa sekunde kadhaa kisha akarudi ndani tena.

"sikia wameondoka,masumbuko mbali na haya yote uliyoyafanya mimi bado nakupenda,naomba uondoke hapa kijijini hii ni kesi kubwa sana tena sana,miaka thelathini jela ni mingi mno,naomba nikupe kiasi hiki kidogo cha pesa kitakusaidia mbele ya safari,pitia kwa babu yako ili ujue na yeye atakujuza nini"

nilipokea kiasi cha pesa alichonipa mama neema,sikutaka kujua ni kiasi gani,vile alivyonipa na mimi niliipokea hivyohivyo na kuitia mfukoni,nilitoka nje na moja kwa moja nikaelekea kwa babu,nilimkuta mzee kazumar akiwa ameshika tama akawa ananitaza tangu natokea hadi nafika alipo.

"masumbuko..haya ndio majibu ya mtihani wa shule uliokuwa unaufanya?"

babu aliponiuliza hilo swali nilikosa jibu la kumpa nikabaki nimetizama chini,ila hakuacha akalirudia tena hilo swali na mimi nikalijibu kwa kutikisa kichwa ishara ya kukataa.

"leo umekuwa bubu,umekuwa mwanaume kidume,husiyeheshimu mabinti wa watu,umeamua kunitukanisha na kunidhalilisha,umeamua kufuata nyao za mama yako si ndio mana yake"

"masumbuko unataka nijione ni mtu mwenye hasara tu kwa kizazi changu,nilikosa tumaini kwa mama yako na tumaini likabaki kwa mjukuu wangu,masumbuko mjukuu wangu,hivi mama yako ulishawahi kumuona hata kama ni mzima au amekufa lakini anajua au alikuwa anajua kama huku kijijini amemua mtoto wake"

babu alikuwa anaongea kwa uchungu na nikajiona ni mkosaji zaidi,nafsi yangu ilijawa na uchungu kwa hili lililotokea kwakweli,ilinipaswa nifungue mdomo wangu na kumuomba msamaha babu yangu,nilikunja goti huku machozi yakinitoka.

"nikisema sijakusamehe atakusamehe nani na umemkosea nani na hata nikisema pia nikusamehe bado haina maana,labda ndio yule binti mimba itapotea,kikubwa ni kutafuta njia ya kulikwepa tu masumbuko,nenda kokote ila sio hapa kijijini wala mkoa wa mtwara huu sawa"

niliupokea ushauri wa babu yangu kwa mikono miwili kabisa.

"masu kokote utakapoenda husije ukawa kama mama yako ambae alikuacha hapa nyumbani hata ziwa haujaacha na akaondoka mazima na sijui kama ni mzima au amekufa,na wewe husije kuacha jongoo na mti wake,wewe ndio mwanangu na ndio msaada wangu sawa"

mmmh inamaada mama aliniacha nikiwa mdogo sana,leo nimepata jubu ingawa bado sijajua sababu ya yeye kuniacha na sikutaka kuhoji kwa wakati huu.

niliingia ndani na kuchukua nguo chache na babu na yeye akanipatia kiasi cha pesa alichokuwa nacho,nilirudi tena kwa mama neema lengo nikingojea kigiza kidogo kiingie ili nielekee kwa madame vero nikachukue baadhi ya nguo zangu huko.

safari hii nilimkuta mama neema akiwa ametoka kuoga hivyo nilimkuta akiwa anavaa chupi na ugonjwa wangu wa shanga ukiwa upo kiunoni mwake ila shida nyoko,huwezi amini hata hisia sikuwa nazo kabisa mawazo yangu yote yalikuwa juu ya kumjaza mimba swaumu tu.

Kiza kilipoanza kuingia nilianza safari ya kuelekea kwa madame vero ilichukua saa kadhaa kufika kwa madame huku nikiwa natembea bila ya amani moyoni,nilishakuwa mkimbizi pale niliposikia sauti za watu nilijificha kilazima yote ikiwa ni harakati za kujikomboa na hili janga.

nilipofika katika geti kubwa la kuingilia ndani nilikuta limeegeshwa tu,kulikuwa na utulivu mkubwa kupita kiasi,hali hii ni tofauti na siku zote kwakweli,niliingia hadi ndani na nilipofika sebreni jicho langu lilikutana na jicho la angel ila alikuwa yupo tofauti sana na hata wewe ungemtazama ungejua hayupo sawa,si yule angel wangu ambae akikuona tu anatabasamu,anakuchekea na kukurembulia vimacho ila angel wa leo uso wake ulikuwa unajieleza fika ulikuwa na majonzi.

nilimsalimia lakini hakuitikia salamu yangu,nilimuuliza kuhusu madame vero ila na hili pia hakunipatia jibu,na mbaya zaidi nilistuka na kupata mshangao pale nilipoona machozi yanamtiririka mashavuni,nikawa najiuliza kimemkuta nini mpenzi wangu jamani.

sikukaa sawa na kupata majibu ya maswali yangu madame vero alitoka chumbani akanitazama kisha akaniambia niende chumbani kwake,bila kupoteza muda nilimfuata chumbani kwake na kumkuta amesimama nitofauti na siku zote.

nifikia kwenye kumshika kiuno ila alinitoa kwa nguvu na kunipa bonge la kofi,hakika lilikuwa ni kofi la haja nikawa najiuliza hii ni nini,nimepigwa kweli au niota.

"unaona raha sana,unaona raha ninapokusifia wewe ni kidume masumbuko si ndio,masu kitu gani ulikuwa unakikosa kwangu,huduma zote ulikuwa unazipata,unakula vizuri,unavaa na kunywa na kunitomb* pia unanitomb* au sikuridhishi?"

sikuelewa anamaanisha nini ila nilijua fika teyari taarifa za swaumu ameshazipata tu,nilibaki nikitetema huku nikiona ni mkosi kwangu.

"naongea na wewe masu,nilikuwa sikuridhishi,wewe ni mdogo sana kwangu ila nimekufanya kuwa chaguo langu,hakika hii ni tabu ya kuwa na mahusiano na watoto wadogo hawaishi tamaa"

nilijaribu kumsogelea tena madame ila wapi niliambulia kofi la uzani mkubwa kuliko la mwanzo.

"kaa mbali na mimi tena hisinisogelee kabisa msenge wewe"

daah nilivuta pumzi kwanza nilipoambiwa msenge,hakika hili tusi silipendi balaa nikajikuta naropoka kwa hasiratu,"ningekuwa msenge mimi ningekuwa nakutomb* vizuri na kukufikisha tena unakojoa zaidi ya mara tatu"
dooh ebwana baada ya kumwambia hivyo kumbe ndio nimeuchochea moto wa kifuu kwanini hisinibabue mikono.

"oooh kum* wewe kwahiyo uko kukojoza kwako na huo uwanaume wako ndio ukaamua ututomb* mimi na mdogo wangu tena ukaona haitoshi ukaamua na kumpa mimba kabisa"

weeeee nilibaki nikiwa nimeduwaa maana sikujua ni mdogo wake yupi angel au nani au swaumu ana undugu na yeye au?

nilibaki nimeduwaa huku nikiwa najiandaa kumuuliza swali ila ghafla,..

**************ITAENDELEA************”
DOWNLOAD APPLICATION YETU SASA KWA MUENDELEZO NA SIMULIZI NZURI ZA KUSISIMUA OFFLINE.
👉https://play.google.com/store/apps/details?id=com.godstarapp
SAMBAZA KWA WENGINE TAFADHALI

No comments:

Post a Comment