Breaking

Friday, September 4, 2020

UTAMU WA MAMA Sehemu ya 61

 

UTAMU WA MAMA SEHEMU YA 61
MTUNZI: GODFREY GODSTAR
CONTACT: 0717069756
FB PAGE: https://www.facebook.com/godstaronline/
AGE:18+

SEHEMU YA 61

ILIPOISHIA

nilibaki nimeduwaa huku nikiwa najiandaa kumuuliza swali ila grafra...
#ENDELA NAYO
ila gafra alifungua mlango na kutoka ndani kwa hasira na haikuchukua dakika alirudi huku akiwa amemkamata mkono angel akawa anamvuta kwa nguvu sana.
"wewe huyu unamuitaj?"
swali hilo lilikwenda moja kwa moja kwa angel.
"kaka"
"kum*mako eti kaka,angekuwa kaka yako ungempa kum* aitombe msenge wewe"
hakika madame vero alikuwa anaongea kwa hasira sana akawa anatukana ovyo uso wake ulikuwa unaashiria ishara ya kutoa machozi na niligundua kilichomuuma zaidi ni kuchangia mwanaume na mdogo wake.
"dada naomba unisamehe dada yangu ila.."
"ila nini?..,nakuuliza wewe kumbe nilipokuwa natoka nilikuwa nawapa uhuru wa kufanya haya,sasa sikia huyu mwanaume si bora kuliko mimi,nakuomba ukafungashe vitu vyako uondoke naye sawa"
mmmh hakika nilibaki njia ya panda sijui nifanyaje,mwili wangu wote ulipatwa na ganzi kabisa sikujua nafanyaje baada ya kusikia natakiwa niondoke na angel,nikawa najiuliza mimi mwenyewe huko nilipotoka nimekimbia msala na hapa asubuhi sana natakiwa niondoke na sijui naelekea wapi alafu na yeye tena ananiambia niondoke na mdogo wake,hakika nitampeleka wapi mimi.
yalikuwa ni maswali mengi sana ambayo yalijaa kichwani mwangu na nikashindwa kabisa kuyapatia majibu,nilitafakari ila mwisho nikapata jibu.
nikamuomba angel atoke nje ili nizungumze na dada yake na kwakua madame vero hakutaka mdogo wake ajue kwamba na dada yake ni mtu wangu alimuomba atoke aende sebreni.
kitendo cha angel kutoka ndipo na mimi nikaanza kutumia uwanaume wangu wa kuongea ukweli kabisa.
niliona haina haja ya kumficha,nilimwambia mdogo wako ndio alikuwa mtu wa kwanza kuwa na mahusiano na mimi tena mimi ndio nilimfuata,sasa je vero unanilaumu kwa lipi haliyakuwa wewe ulinifosi pasipo na mimi kupenda kufanya yale tuliyoyafanya usiku wa kwanza kukutana kimwili na mimi,madame mimi ni mwanaume na nilijali laiti kama yale mambo uliyonifanyia usiku ule na ningekuacha bila kukutomba nadhani leo hii ndani ya moyo wako husingeniita mwanaume naamini ungekuwa ukiniona tu ungejisemea hanithi hiloo,sasa hapo kosa langu ni lipi madame?.
baada ya kumaliza hayo madame alinitazama kisha akashusha pumzi ishara ya kupoa na kukubali yale niliyomueleza,alirudi hadi kwenye kitanda na kuketi.
"kwahiyo yule ndiye alikuwa wa kwanza,kwanini haukuniambia lakini,kwanini masu..nahofia kukupoteza na mimi kabisa ninauchungu sababu nakupenda na hii ni aibu kwangu ingawa angel ajui,angel leo asubuhi nimeenda kumpima ndio tukapata jibu la kuwa ana mimba,aliamka akiwa anahomahoma,anatapika nilipompeleka hospitali vipimo vya kawaida havionyeshi ugonjwa wowote ndipo daktari akatoa wazo la kupima mimba na ndipo tulipopata hayo majibu,tumeridi nyumbani nimembama sana na kumpiga ndipo amekutaja wewe"
nilichukua nafasi hiyo ya kuomba msamaha kwa madame vero,nilipiga magoti mbele yake ila nikiwa bado kwenye kuomba msamaha na madame kuto kuniambia chochote simu yake iliita na kuipokea,baada ya sekunde kadhaa hivi akiwa kwenye mazungumzo sura yake ikaanza kubadilika furaha hapa ndipo ilitoweka kabisa na baada ya simu kukatwa nilistukia makofi mawili ya usoni ya harakaharaka,sikujua kwanini,madame alinyanyuka akiwa anakimbia na kutoka nje haikuchuka muda nilisikia sauti ya angel ikimwambia.
"dada prease husifanye hivyo,tafadhali niko radhi kuondoka hapa kwa ajili yake,nampenda"
ila nilisikia kishindo na sauti ya angel sikuisikia tena,wakati najiandaa nielekee sebreni gafra nilirudishwa ndani kwa nguvu,macho yangu yakipotazama mkono mmoja wa kulia wa madame niligundua kuwa amebeba kisu mkonini,hapo sasa akili ilichanganikiwa maana mlangoni alitanda yeye,machozi yalikuwa yanamtoka,mafua yalikuwa yanatiririka balaa.
"masuu..masuuuu...leo atakufa mmoja kati ya mimi au wewe,masu kwanini unaroho ya unyama hivi,masuu wewee..aahhh jamani"
madame alikuwa analia kama mtoto mdogo huruma ilinijaa ingawa sikujua ni kipi kilichomfanya madame awe katika hali hii baada ya kuongea na simu.
"naomba husinisogelee nitakutoboatoboa kisu sasa hivi kum* wewe,mwalimu mkuu ananipigia simu ananiambia umempa mimba swaumu daaah najuta kutombana na wewe"
daaah niliishiwa pozi kabisa,hakika siku ya keo nikiona dunia imenielemea na ndipo nikagundua kumbe sakata la swaumu kumpa mimba alikuwa halijui ila mwalimu mkuu ndio ameharibu kabisa.
mwanaume nilibaki nimetazama chini tu,mwili ukitetemeka kabisa.
"masu mdogo wangu umempa mimba na mtoto mwingine mwanafunzi umempa mimba,eeh kidume wewe unaitumia mbo* yako kuwaadhibu watoto wa kike sasa"
madame vero alikuja kwa kasi na kuanza kunishushia makonde mwilini na kwa bahati mbaya alinikata katika mkono damu zikaanza kunitoka nyingi sana,hofu ya kuuliwa na vero ikatawala sana,maana hakuwa vero yule ninayemfahamu mimi,hapa alibadilika nakuwa chui kabisa.
"sawa..sawaaa..sawa bwana umefanikiwa kidume una watoto wawili sasa,wewe si bingwa ngoja sasa nikuonyeshe"
mmh niliposikia ngoja nikuonyeshe nikaamua kurudi kwa mungu na kumwambia mungu ninusuru roo yangu mie maana sikujua anadhamira ya kufanya nini.
nilishangaa kumuona madame vero anavua nguo zote na kubaki kama alivyozaliwa kisha kajilaza kitandani kwa style ya kifo cha mende na kuitanua miguu yake.
"aya njoo,njoo kidume..njoo unitombe sasa,nataka unitomb* asahuvi na unipe mimba sasa na tumbo lionekane ili na mimi nijivunie mtaanu kwamba mwanaume wetu kudume"
daah yaani alikuwa anaongea kama utani ila alikuwa anamaanisha,alikuwa anaongea kwa hasira kubwa huku machozi yanamtoka balaa,sikujua nafanyaje kwakweli na nilimuonea huruma madame.
nilimsogelea hadi pale alipo.
"mdogo wangu unamuweka katika fungu gani na wewe hapo ulipo sasa unatafutwa,unadhani angel akilijua hili si nitamkosa mdogo wangu kwa umalaya wako huo mwana kunyonyoka wewe"

**************ITAENDELEA************”👄👄👄

DOWNLOAD APPLICATION YETU SASA KWA MUENDELEZO NA SIMULIZI NZURI ZA KUSISIMUA OFFLINE.
👉https://play.google.com/store/apps/details?id=com.godstarapp
SAMBAZA KWA WENGINE NA HUKO MBELE NDIO KUTAMU ZAIDI
TAZAMA MWANZO WA SIMULIZI HIZI HAPA 👉 MWANZONI

No comments:

Post a Comment