Breaking

Friday, September 4, 2020

UTAMU WA MAMA Sehemu ya 65


 UTAMU WA MAMA SEHEMU YA 65

MTUNZI: GODFREY GODSTAR
CONTACT: 0717069756
FB PAGE: https://www.facebook.com/godstaronline/
AGE:18+
SEHEMU YA 65

#ILIPOISHIA

nilimuelewa vizuri ila kwenye neno udangaji hapo ndio nilishindwa kumuelewa anamaanisha nini. .

#ENDELEA_NAYO

ila sikutaka kumchosha kwa maswali ikanibidi ninyamaze kimya kabisa na kuendelea na mengine.

"sikia sasa,mimi bwana shughuli zangu nazifanya usiku natoka saa 12 hapa na ninarudi saa 8 usiku ila jumapili ndio nakuwa of,hivyo utakuwa wewe peke yako hapa mida ya 12 hadi 7 hivi mdogo wangu"

frank baada ya kuniambia hivyo nikapatwa na mshangao ni kazi gani ya usiku hivyo haliyakuwa kule kwetu bwana mapema tu,watu washakula na wako ndani,haumkuti mtu sijui ameenda kazini usiku.
nilijiuliza ila sikupata jibu hivyo nikajisemea ndani ya moyo kuwa hili siliachi lazima nimuulize,niliamua kuuvunja ukimya na kumuuliza ni kazi gani tena anaifanya usiku?
na yeye bila kusita akanipa jibu.

"bwana wewe shughuli zetu hizi hasa sisi vijana mdogo wangu,nafanya kazi casino,kuna kasino moja ipo poster inaitwa grand casinio basi Mimi ndio nipo hapo,Siku moja nitakutembeza ukapafahamu"

masumbuko mie sikutaka kuendelea kuuliza sababu jibu lake lilijutosheleza kabisa kwangu.

ilikuwa teyari kikiza kilikuwa kinaanza kuingia na nilipoitazama saa ya simu yangu ambayo inasema ukweli iliniambia ni saa 12:30.

"ngoja basi nikaoge alafu tuongozane hadi hapo barabarani ukachukue chakula kwa ajili ya usiku"

baada ya kutoka kuoga,tuliongozana wote hadi kwenye kubanda kimoja cha chipsi,aliagiza chipsi na mishikaki miwili na nikafungiwa kwenye makalatasi fulani ambayo yalikuwa ya rangi ya silver na yanang'aa,ukweli kabisa sikuweza kujua ni makaratasi ya aina gani.

"vipi hapa nikurudishe au unaweza kufika mwenyewe?"

ukweli kichwa changu kilikuwa ni chepesi kushika mambo hivyo nilimjibu kuwa nafika mwenyewe.

frank aliniacha na kuelekea stend na mimi nikawa najirudisha mdogomdogo huku nikiiangalia magomeni na jiji la dar linapong'aa inapofika usiku,ni tofauti na kiza cha kijijini kwetu hususani inapofika usiku.
kweli tembea uyaone yaliyomengi katika huu ulimwengu.

nilifika nyumbani na kumkuta yule dada mrefu ambae anaweusi wa mng'ao akiwa amekaa nje.

"oooh mgeni pole,yaani frank anatabia mbaya,ameshindwa kukuleta hadi hapa,sasa ungepotea je,yaani yule mambo yake mmh"

nilitabasamu kisha nikamjibu hapana mimi mwenyewe ndio nimemwambia naweza kufika mwenyewe nyumbani hivyo wala hana matatizo broo.

"oooh nilijua amekuacha maani akili za frenk anazijua mwenyewe"

niliingia ndani na kujifungia kimya,nilijikuta naanza kumkumbuka swaumu ambae yeye ndio chanzo cha mimi kuja katika jiji la dar kwa kumpa mimba.
nilijikuta natabasamu na kusema"hivi kweli ndio nakuja kuwa baba wa watoto wa mama tofauti tofauti aisee umri unaenda,nilizitoa pesa zangu ambazo nilipatiwa na madame vero,babu na mama neema nilipo zihisabu zilikuwa ni shilingi laki sita,aisee nikajua kumbe nimepewa pesa nyingi hivi.

miezi 2 sasa imepita tangu niingie katika jiji la dar es salaam,ndugu na marafiki teyari nilikuwa nishawaongeza kwangu,nyumba niliyokuwa naishi walikuwa wameshanizoea sana na mimi nilikuwa nishawazoea,utani wa hapa na pale husiokuwa na madhara kwa hawa wapangaji wenzetu ulikuwa ni utani wenye kuleta furaha,amani na upendo,watoto walinipa jina la masunyoko na hili jina lilitokana na ubishi wangu hasa tukiingia kwenye masuala ya ubishi hivyo basi kutokana na rafudhi yangu ya kimakonde hivyo nilikuwa nikiongea lazima niseme nyoko na walimwengu wa magomeni wakanipa jina la masunyoko.

kipindi hiki chote nilikuwa sijaanza kujishughulisha na biashara yoyote ile na hii ni kutokana na madame vero kila nilipokuwa naongea naye alikuwa ananiambia nisubirie kutokana kuna kiasi cha pesa anataka kunitumia ili nianze biashara vizuri na niende kupanga chumba.

tabia ya kula kwenye vibanda kiukweli nilikuwa siiwezi hivyo ilinilazimu kununua jiko la gase na kupika mwenyewe ingawa frank alikuwa si mtu wa kukaa jikoni ila nilimfanya kuwa ni mtu wa jikoni.

sikuhii sikuenda kabisa kuzurura na frank hakuwepo nyumbani alitoka asubuhi na kuniambia anaelekea mbezi.
mwanaume kama iluvyokawaida yangu nilienda sokoni na kununua mazagazaga kwa ajili ya kupika,hakika hii siku ilikuwa ni tulivu sana hapa nyumbani,wakati nikiwa ndani nakaangiza nilisikia mtoto wa kike akibisha hodi na kwakuwa sisi wenyewe ndani tumezoeana hivyo sikutaka kutoka nje ila nimjibu kwa kumwambia pita huku nikiwa naendelea na na upishi,basi mtoto wa kike alipita ndani.

"mmmh masunyoko wewe aisee unaniumiza pua mwenzako,yaani leo hapa sitoki lazima nionje hicho chakula maana kila siku unaturusha roho"

wakati anazungumza hayo yote mimi sikumtazama yaani tangu anaingia Mimi macho yangu yalikuwa bize na chungu ingawa nilimfahamu ni nani.

"eeeh nawe,hicho kimya vipi,hata kunijibu,kupika kwako huko ni shida babu"

nilijikuta natabamu na kugeuka ili nimjibu,ila nguvu ya kuongea ilipotea kabisa baada ya kumuona,hakika mungu anajua kuumba nyinyi na kila mmoja mungu amempa chakwake na wala havifanani kabisa,sikuamini kama huyu ndiye rukia ambae tangu nimefika hapa namuonaga anavaa mashungi tu,nikajikuta najisemea mwenyewe "aisee kumbe kuna vitu unavificha hivyo"

jamani nyinyi masumbuko hapa uvumilivu ulinishinda kabisa na kujikuta namwambia rukia kumbe ni mzuri kiasi hicho ruki.
hakika alivaa khanga moja tu ya rubega na chupi tu,sasa ile khanga ilikuwa ndogo,hakika hipsi zake zilikuwa zimenata vyema ndani ya ile khanga na kumfanya lile umbo namba nane lionekane vizuri,hakika narudia tena mungu ni fundi nyinyi.

"masu wewe mimi ninauziri gani sasa,ebu acha mambo yako,pika nile mie"

eti pika ule,nikajisemea mwenyewe napika unakula na kuliwa.
**************ITAENDELEA************”👄👄👄

DOWNLOAD APPLICATION YETU SASA KWA MUENDELEZO NA SIMULIZI NZURI ZA KUSISIMUA OFFLINE.
👉https://play.google.com/store/apps/details?id=com.godstarapp
SAMBAZA KWA WENGINE NA HUKO MBELE NDIO KUTAMU ZAIDI
TAZAMA MWANZO WA SIMULIZI HIZI HAPA 👉 MWANZONI

No comments:

Post a Comment